Ad

EnglishFrenchSpanish
ApkOnline Logo

ApkOnline favicon

Tenzi Za Rohoni Download

Download Tenzi Za Rohoni APK

Tenzi Za Rohoni

The official app & game

Distributed by ApkOnline

 

SCREENSHOTS

Ad


DESCRIPTION

iPhone app Tenzi Za Rohoni download it using ApkOnline.

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.

Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.

Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for

the accompaniments).

Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.

Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.

Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa

utukufu wa Mungu.,
Get it from Apple Store

Download Tenzi Za Rohoni from ApkOnline.net

ADDITIONAL INFORMATION:

Developer: Justin Bulenga


APK Downloads

 • Top »

 • Hot »

 • 1
  FIFA Soccer
  FIFA Soccer
  Build your Ultimate Team and kickoff
  your soccer journey today. Soccer stars
  await with over 15,000 players including
  world-class talent like Kylian Mbapp, Ch...
  Download APK
 • 2
  8 Ball Pool
  8 Ball Pool
  Do you want to play in the world of
  pool games? 8 Ball Pool is an addictive
  challenging game based on real 3D pool
  games, where you will challenge your
  friend...
  Download APK
 • 3
  BASEBALL 9
  BASEBALL 9
  Enjoy fast-paced, realistic baseball
  game, featuring compact gameplay and
  informative stats. Play BASEBALL NINE to
  become the Legend League Champion! Game
  Fea...
  Download APK
 • 4
  Race Master 3D - Car Racing
  Race Master 3D - Car Racing
  Race Master 3D Fast, furious and
  super-fun racing Keep your finger to
  the floor and be ready for absolutely
  anything in this ridiculously
  entertaining mobil...
  Download APK
 • 5
  Tomb of the Mask
  Tomb of the Mask
  Tomb of the Mask is an arcade game
  with an infinite procedurally generated
  vertical labyrinth. Seeking for
  adventure you get into a tomb where you
  find a stra...
  Download APK
 • 6
  Roblox
  Roblox
  Roblox is the ultimate virtual
  universe that lets you create, share
  experiences with friends, and be
  anything you can imagine. Join millions
  of people and dis...
  Download APK
 • 7
  Fashion Battle - Dress up game
  Fashion Battle - Dress up game
  The most entertaining game of the year
  is already here! It is your time to
  shine, dress well to impress everyone,
  race against to win this clash of
  fashion wa...
  Download APK
 • 8
  Subway Surfers
  Subway Surfers
  DASH as fast as you can! DODGE the
  oncoming trains! Help Jake, Tricky &
  Fresh escape from the grumpy Inspector
  and his dog. Grind trains with your cool
  cr...
  Download APK
 • 9
  Paper.io 2
  Paper.io 2
  You liked Paper.io ? You'll love
  Paper2.io! Conquer as much territory as
  possible and beat the competition. A
  smooth drawing experience! Get it from
  Googl...
  Download APK
 • More »